CALL FOR INTERVIEW

Mkurugenzi Mkuu, Kilimanjaro Airport Development Company Limited (KADCO) anatarajia kuendesha zoezi la Usaili wa Mchujo na Mahojiano kwa waombaji kazi waliotuma maombi kufuatia tangazo la kazi la mwezi Septemba, 2017 kwa ajili ya kujaza nafasi mbalimbali. Fuata link ifuatayo kuona majina:-

POST: KUITWA KWENYE USAILI