MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO

MKURUGENZI MTENDAJI WA KILIMANJARO AIRPORTS DEVELOPMENT COMPANY LIMITED (KADCO), ANAPENDA KUWATANGAZIA MATOKEO WASAILIWA WALIOFANYA USAILI WA MCHUJO (APTITUDE TEST) TAREHE 16 JULAI 2018 KWA KADA ZILIZOAINISHWA HAPO CHINI.

Bofya hapa kwa maelezo zaidi.....